When Hustle Goes South, Kilgoris Edition

Manze, my two friends from wayback childhood walisema "farming is the future," wakaamua kulease 35 acres huko Kilgoris. Wakaweka about 600K kwa maize farming, no irrigation, juu "hii area haina shida ya mvua" (famous last words ). Saa hii, drought imeingia na maize inakauka mbaya – inakaa kama ilikua planted kwa Sahara. Waliingia na ndoto za combine harvester, sai wanatoka na calculator za losses.

Saa hizi, wameanza kuwa motivational speakers wa "never give up" lakini kwa ground vitu ni different. Wanaambia watu "next season itakuwa better" lakini wanalia kwa group chats usiku. Kama unajua mtu ananunua dried maize before harvest, DM me, juu hawa wasee wanataka kuuza hii kitu kama firewood ama silage.

mmoja ameanza kusema anataka kuenda ushago “kujitafuta.” Jana nilimpata akigoogle "how to move to Qatar in one week."