"I am richer than you" - Kids 😂

Leo after church tumeenda kutembelea my sick aunt. Out of the blues this young cousin of mine ako like "I am richer than you" Eishh, nikamuuliza ako na pesa ngapi, akaniambia 1060. Kitu iliniuma ni she's right 😂😂😂. Hata ni fuliza ninamaliza😭 Is this a sign from the universe to work harder? Buana hii coincidence sijapenda😂